Msanii wa Rnb bongo nchini Tanzania amefunguka kuhusu ujio wa collabo yake na msanii mkubwa wa Nigeria ambapo ameweka wazi mambo kuwa kila kitu kipo kwenye hatua za mwisho.

Bella

Msanii huyo mkali wa ‘Ollah, Nishike’ na nyinginezo, amesema kuwa ngoma yao ipo tayari bado video ambayo siku si nyingi ataiachia ili mashabiki wake na wadau wa muziki wapate kazi mpya kutoka kwake yenye hadhi ya juu.

Christian Bella ameshirikishwa na msanii J Martins wa Nigeria ambaye ni msanii mkubwa. Bella amezungumza na kituo kimoja cha habari Tanzania na kufunua yote hayo.

“Sisi huwa tunaenda kutafuta kolabo Nigeria lakini raundi hii kwa bahati nzuri nimeshirikishwa na J Martins, audio imetoka tunaenda kufanya video”akasema Bella.

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!