Je msanii wa hip hop na rapper Kenya anatarajia kupata malaika mpya chini ya juamsimu huu wa kampeni na joto la siasa Kenya ambapo kila shughuli zimegoma kisa siasa?

Msanii huyo ametupia picha yake na mkwe pamoja na mtoto msichana wake huku baby mama wake akionyesha dalili za kujifungua karibuni. King Kaka mmilisi wa King Kaka Empire amekuwa gumzo kwenye game la muziki kutokana na juhudi zake na usaidizi kwa vijana wengi wasanii kwenye jamii.

Huenda akaongeza familia kwani ana mtoto mmoja kwa jina Nana na mkewe Gweth.

Tazama picha alipost kwenye ukrasa wake Twitter:

Gweth, Nana na King Kaka

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!