Huddah Monroe mwanamitindo wa Kenya amefunguka ya moyoni kuhusu maswala ya maanadamano ya wafuasi wa mrengo wa siasa wa NASA.

Huddah

Mwanadada huyo maarufu amesema wazi kuwa wanaotumia muda wao kuaharibu biashara za watu au kusambaratisha amani ya nchi hawafai kuhurumiwa kabisa na wanafaa kufa waliwe na mbwa tu. Kwa mujibu wake kwenye mitandao ya kijamii mrembo huyo amepost ujumbe ufuatao;

“Personally I don’t think anyone should moan the death of anyone who dies at a demonstration, the families should not even bury them, they should let their bodies be eaten by dogs msiba wakujitakia huambiwi pole.”amapost Huddah

Hata hivyo amewataka wanaoskia vibaya kuhusu kauli yake hio waache kufuata kwenye mitandao ya kijamii kwani hawamuongezei faida yoyote hata kidogo. Tazama hapa chini;

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!