Msanii wa gospel Kenya ameweka wazi sababu kuu za kuwa kimya kimuziki takribani miaka mitatu bila kuachia ngoma kama kawaida yake.

Kambua

Msanii huyo wa kike kwa jina Kambua, amezungumza na Maisha Concert Friday na kusema kuwa aliponzwa na msiba wa baba yake mzazi aliaga dunia na hivyo kuchukua muda kuomboleza kwani mambo hayakuwa sawa kwake kutokana na mapenzi ya baba yake mzazi kuaga na kumwachia maumivu ya roho kwani alimpenda sana.

Team Maisha Concert Friday

Kambua aliaachai pia ngoma yake mpya yenye video kwa jina ‘Mwaminifu’ na kusemakuwa amerudi rasmi kwanye game la muziki wake ili mashabiki wapate kazi nzuri kutoka kwake. Ni mwanake ameoleka mchamungu kwa mujibu wa amelezo yake studioni.

Skiliza ana utazame video hii hapo juu ya Interview yake na Alex Na Nick.

>MitegoEA