Sauti Sol baada ya kuoneka kutoa msimamo wao na maoni kuhusu mirengo ya kisiasa nchini Kenya, sasa wamekuwa gumzo kwenye kona zote za mitandao kwani wakenya wajawaach salama.

Wasanii hao maarufu Afrika kupitia muziki wao mzuri walitoa kauli ya kudhalilisha misemo ya mirengo ya chama cha NASA na Jubilee ‘Tibim, Tialala, na Tano Tena’. Hatua hio yao iletea joto na mkanganyiko wa maoni tofauti ya mashabiki kwenye mitandao haswa Twitter ambapo mashabiki waliwaponda vibaya Sauti Sol hadi kuwaita Slay Queens.

Sauti Sol

Hata hivyo michambo haichakoma kwani bado Sauti Sol wanazidi kupokea maneno makali kutoka mafans kama huyo alipost kwa picha yao na kudai watu wanakufa kwa maradhi ya Malaria kisa ukosefu wa vyandarau au Net za kukinga Mbu huko Baringo na kuwataka wajibu kuhusu mwelekeo wao na msaada wao kama kioo cha  jamii.

>MitegoEA