Leo nikiwa nakipapita kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nikumbana na picha hii ambayo imepostiwa kwenye group moja la WhatsApp huku wahusika humo ndani waliichambua kwa mitazama tofauti.

Mwanamke huyo mwenye umbo kubwa anasemekana amebarikiwa zaidi ya sana kwani shepu analo la kutosha kwani baadhi ya wanaume wanapenda umbo kama hilo kwenye vyumba vyao vya ndani kwani wanadhana ya kuwa wanawake sampuli hio wana utamu zaidi ya nyama ya bata.

Kwa mtazamo wangu ni kuwa mwanamke huyo amabye ameficha sura yake amejibeba jinoma lakini mbona kaficha sura yake na naamini kuwa sura ndio chanzo cha kila mitu achia mbali umbo.

>MitegoEA.