Huyu ndiye msanii wa kwanza kupata nafasi kufanya muziki wake chini ya lebo mpya inayokuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa muziki na burudani.

Mwana dada huyo kwa jina ‘Sansannah’ ameanza kufanikisha ndoto zake chini ya lebo hio kukuza muziki wake na kufikia mashabiki kote duniani ili wapate kazi nzuri ya muziki.

Sansannah

Lebo hio ambayo inamilikiwa na msanii King G, kwa sasa inajitahidi kukuza vipaji Afrika Mashariki na kama msanii hii ndio nafasi yako kungaa.

Sansannah kwa sasa ameachia ngoma mbili kwa jina ‘Wema’ na ‘Mwanga’. Hii hapa chini ni  ngoma yake ‘Wema’. Tazama;

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!