Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Msanii wa Wcb Wasafi ameachia rap freestyle yake nyingine kuthihirisha kuwa yeye bado ndiye bingwa wa mistari na hivyo anakuja kuteka soko la duniani kote.

Rayvanny

Rayvanny aka Vvanny Boy ni msanii mwenye uwezo mkubwa kimuziki kwani anaweza kufanya chochote kile kutokana na bonge la kipaji chake anachokitumia kuelimisha jamii lakini pia kuleta burudani kwa kila shabiki wake. Ameachia freestyle hio inayowazungumzia wasanii wengine takribani wote wa Tanzania na tabia zao za kimaisha. Amemtaja Diamond kuwa anapenda kuvimba au kutukana kwenye ngoma zake, kataja Madee, Fid Q, Shetta, Shilole, Vanessa Mdee, Nikki wa Pili na wasanii wengineo wengi.

Ngoma hio yake Rayvanny inaitwa ‘Tabia’.  Iskilize hapa chini:

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.