Kutoka Eldoret Kenya ni kipaji kipya cha msanii chipukizi mahiri kwa michano.

Mitego Sasa Blog imefumbua mwanadada mwenye uwezo wa kuimba na kurap kwa mpigo.

Farry Sasha ameachia ngoma moja matata ambayo inamtambulisha kimuziki kwani ameamua kukupa burudani ewe shabiki wa muziki mzuri.

Sasha pia ni model chipukizi ambaye anajituma kufanikisha ndoto zake maishani.

ngoma yake mpya ‘Believe In  Me’ hapa chini;

http://mdundo.com/a/36356

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!