Msanii wa bongo fleva Tanzania ameachia video yake baada ya kukawia kuiachia kwa muda tangu aachie audio yake ya ‘Nishachoka’. Konde boy ni msanii chini ya lebo yake Diamond Platnumz Wcb Wasafi ambayo imesainisha wasanii kadhaa.

Harmonize

Harmonize ameachia video hio chini ya masaa macahche yaliopita na kwa sasa imechukua namba moja kwenye trend za YouTube channel. Ni video ya mfumo wa rangi ya black and white kumaanisha ni ‘zilizopendwa yaani Tbt’ ambayo imeongozwa na director Kenny.

‘Nishachoka’ inazungumzia mapenzi ayke aliyokuwa nayo wakati alipokuwa kwenye mahusiano na mwigizaji wa filamu bongo, Jacqauline Wolper akimjibu kwa kumwambia alishakinai penzi lake na kwa sasa amepata aliyezaidi yake kwa maana ya mrembo wa Italy Sarah aliyekwenye penzi naye. Video vixen anaonekana kumfanana Wolper.

Tazama video hio hapa chini;

>MitegoEA