Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania anayekuja kwa kasi kwenye game la muziki, ameachia video ya wimbo wake mpya baada ya kutusua kupitia ngoma ‘Vanessa’ na pia cover ya ngoma yake Diamond Platnumz; ‘Nisamehe’.

Bexy Wa Music ni nyota ya mpya kwa muziki East Afrika ambaye anatamba na video hio kwa jina ‘Yolanda’ ambapo anamzungumzia na kusifia mwanadada mrembo kwa jina Yolanda kama alivyomsifia ‘Vaileth na Anita’msanii Matonya.

Video imeongozwa na director Shack huku Producer wa ngoma ni Fredon. Tazama video hii hapa chini;

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!