Mshambulizi wa Real madrid na timu ya taifa la ureno Cristiano Ronaldo aliwapiku Messi na Neymar na kushinda taji la shirikisho la soka FIFA la mchezaji bora wa kiume wa kandanda mwaka huu kwa mara ya pili mtawalia.

Cristano Ronaldo atwaa tuzo hio kama  mchezaji bora kwenye tuzo za FIFA huku mkufunzi wake wa  Real Madrid, Zidane atuzwa kocha bora wa mwaka.

Ronaldo na Zidane Kocha

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!