Fahamu mwanamitindo huyu mwanafunzi chuoni Kisii ambaye ameteuliwa kugombea nafasi ya kuwa balozi au ambassador wa bidhaa ya mafuta ya kujipaka mwilini ya Nivea.

Caroline Wangari abaye anafanya course ya Food nutrition and dietetics  Kisii University, anaomba support yako ili kushinda nafasi hio na kuwa amabassador wa NIVEA.

Ili kumwezesha kuchaguliwa bora basi unatakiwa kuingia kwenye Facebbok page ya NIVEA kisha unatuma picha yake au Upload her picture kwenye comment section ya hio post sasa.

Hii hapa chini ndio picha utakayo tumia ku-commect au upload kwenye comment section. Bofy hii link ili umpigie kura Caroline kwa kupost picha yake kisha ujumbe kuhusu kwa nini unamchagua yeye>http://bit.ly/2h2ZyR6

Caroline Wangari

>MitegoEA