Wasanii wa muziki wa secular nchini Kenya wameanza mtindo wa mageuzi kama sio mbinu ya kutafuta kiki kwenye game la muziki kwa sasa kutokana na wanachokifanya wenyewe.

Huku ukistaajabu ya Willy Paul aka Pozee kukazania muziki wa dunia (Secular) kwa jina la Injili, kunao wasanii wa secular wanaojitosa kwenye hio gospel. Baada ya msanii wa rap Timmy T Dat kuachia hits kibao za kurap, aliachia wimbo ‘Inje’ wenye maadhi ya gospel ambapo anamwomba mwenyezi Mungu kutomfungia nje kwenye milango yake ya milango ya ufalme wake, sasa msanii mwingine ameachia mtindo huo wa gospel.

Nameless aka David Mathenge mkali wa ‘Inspire’ ameachia lyric video ya wimbo wake mpya kwa jina ‘Oh Why’ ambao anaonekana kumwomba Mungu kuondoa chuki na ukabila nyoyoni mwa wanadamu wake kwani wanauwana bure.

Hii hapa video lyric yake mpya, skiliza kisha sambaza!!

Kumbuka to Vote for Mitego Sasa Blog as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275 now. Ahsante!!

>MitegoEA.