Its another one kubwa kutoka kwa producer mkali bongo Mr T Touch ambaye amesifika kinoma kupita kazi ya mikono yake ambayo hajakoseaga. Hii ni ngoma mpya kutoka kwa msanii mkali aliyekuwa chini ya Wcb Wasafi yake Diamond Platnumz akimpa shavu rapper mkali mkongwe kwenye game ya bongo fleva.

QBoy Msafi ameshirikisha msanii Mr.Blue aka Byser kwenye collabo mpya kwa jina ‘Kamoyo’ amabpo anasimulia hisia za mayoni kwenye penzi lake kwa mwanamke. QBoy ni msanii ameachia nyimbo kama vile ‘Utaanzaje, Mugacherere’ na nyinginezo kibao.

Pata kutazama video collabo yao hio mpya hapa chini kisha kumbuka kusambaza pia. Video director; Lucas Swahili Visuals

>MitegoEA.