Hii hapa ni video mpya kutoka kwa msanii chipukizi kutoka Kenya ambaye anajituma kuboresha kipaji chake ili nawe shabiki wake upate uhondo.

Mitego imepiga story naye kuhusu ujio wake mpya na kudokeza kuwa kazi ipo tayari kwenye mtandao wa YouTube.

Fleyon ni msanii wa hip hop na pia RnB ambaye amesimulia hisia zake kuhusu ukweli wa ngoma hio yake mpya kwa jina ‘Miss You’. Amefunguka haya;  The song is based on a true story that the artist himself experienced.

Video imeongozwa na director  Amimo Junior.


Fuata link hii hapa  upate uhondo wa ngoma hio kisha Like, Share & Subscribe on our YouTube channel: FleyonTV

>MitegoEA