Kwenye soko la muziki na burudani kuna watu wengi uhusika ili kufanikisha burudani ya aina yake. Wasanii, wanamitindo, MCs, DJs na kadhalika.

Mitego Sasa Blog imepiga mmoja wa Madj wakali kwenye soko la burudani Kenya mwenye uwezo mkubwa wa kukutengenezea furaha yako.

Selekta Ravers aka Elias King’ori ni Dj ambaye kwa sasa ana uzoefu mkubwa kutokana na kutangamana na watu sehemu mbalimbali kuwapa burudani ya muziki kwenye mixx zake moto. Alianza kazi hio mwaka wa 2015 katika Radio lakini pia Klub huku akiwa mmoja wa hypemen wakali.

Selekta Ravers

Ni Dj mwenye sifa tele kwani hata nao mashabikiwake wanamkubali kinoma hadi kumpa jina la utani ‘Musical HeadMaster’ kwani ni mjuzi wa kumix kwenye mashine. Ravers ametuzwa kama Best Upcoming Talent kwenye tuzo za Kiambu Kuna Talent.

Ravers katika ECN Radio

Mkali huyo wa mashine ameshakuwa DJ Ecn Radio,Ghetto FM na Ghetto Radio kama DJ lakini pia producer
“Am a professional radio/tv producer, entertainer and brand and social media promoter and event organizer” akazema huku akiongezea kuwa “I do corporate and club events”
Fb >> selekta ravers

Twitter/IG >> @selekta_ravers

Hata hivyo amenyakuwa tuzo ya Campus radio DJ of the year 2016 kwenye ECN Radio.

>MitegoEA

2 COMMENTS

Comments are closed.