Dah majanga mapya haya kutoka kwa msanii mkongwe amabye ni rapper mkubwa East Africa kutokea Uganda.

Keko

Keko ambaye alisemekana kuwa tomboy alidaiwa kuwa mlanguzi wa dawa za kulevya baad ya kuachia hit song yake ‘Make You Dance’ mwaka 2012 ambapo alipata umaarufu mkuubwa.

Msanii huyo amekuwa gumzo kutokana na hatua yake ya kujitangaza kuwa ni shoga yaani gay alipofanikiwa kupata uraia wa nchi ya Canada anakosomea taaluma ya uandaaji filamu.

‘’Thank you Canada for giving me a new home…I feel free like a new person it was a burden to live in a box and walk on egg shells.’’alipost kwa Twitter account yake.

Keko amesema kuwa anajihisi huru kwa sasa baad ya kukaa kwa manyanyaso nchini Uganda na unyanyapaa kwani serikali ya Uganda ilipiga marufuku tendo la ushoga humo mwaka 2014 na kumfungia haki zake.

‘’My gay ass is free yes free and there will be a wedding you best believe.’’ ameandika Keko.

Lipi wazo lako kuhusu msanii huyo kioo cha jamii kuchukua hatua hio?

>MitegoEA