Hii ni hatua mpya aliochukua msanii wa muziki Kenya kutoka zamani.

Msanii huyo wa kike alivuma kupitia ngoma zake za mapenzi lakini pia mahusiano yao ya ndoa na mwanamuziki mwenzake, Nameless.

Wahu

Wahu Kagwi ndiye mzazi mwenzake Nameless aka David Mathenge ambao wana familia mbali na kuwa kioo cha jamii.
Wahu aliachia collabo moto akishirikiana na msanii wa Uganda, Cindy Sanyu kabla ya kuchukua hatua hii mpya ya kufanya muziki wa gospel.

Mkali huyo wa muda mrefu ameachia ngoma mpya ya injili, ‘Sifa’ punde tu baada ya mpenzi wake Nameless kuachia pia ngoma mtindo mpya wa gospel iitwayo ‘Ooh Why’. 

Tazama kichupa chake kipya cha Wahu ‘Sifa’ hapa chini mtu wangu!

#MitegoEA.