Hivi kweli dunia ina malimwengu ya kila aina. Je ukikutana na mwanamke anayepiga gym utapenda kuwa na urafiki naye?

Mitego Sasa Blog leo inakusogezea picha ya mwanamke mmoja mwenye misuli kubwa ya mwili wake kutokana na mazoezi yake ya kunyanyua vyuma. Hana tofauti na mwanaume.

Huyo mwanamke kwa sasa anadai kuwa hapati boyfriend kwani wana muogopa sana kutokana na umbile lake la misuli. Je utampenda kama girlfriend wako?

#MitegoEA.