Mwanamziki Vivian ameachia kazi yake mpya baada ya kutangaza kufanya hivyo siku chache zilizopita.

Msanii huyo mkali wa vocals alitangulia kutangaza mabaya aliyowahi kukumbana nayo wakati akiishi kwa Ex Boyfriend wake hadi kufukuzwa kwa nyumba.

Ngoma hii hapa chini kwenye link. Bofya kisha sambaza blog links zetu.

#MitegoEA.