Msanii ambaye yupo chini ya EMB Records yake msanii wa gospel Bahati Kelvin, ameachia ngoma mpya.

David Wonder baada ya kitusua na collabo yake pamoja boss wake Bahati kwenye ‘Ndogo Ndogo’, ameachia ngoma mpya kwa jina ‘Mtindo’.

Msanii huyo wa injili ameonekana kujituma mno kuliteka soko la muziki Afrika Mashariki kwa wake mtindo.

Pakua na tazama video hio hapa;

#MitegoEA