Msanii gwiji Eddy Kenzo kutokea Uganda ambaye ni mshindi wa tuzo kubwa ya muziki duniani ya BET.

Msanii huyo ‘Sitya Loss’ ameachia kazi mpya kabisa inayotisha na kutesa anga kinoma.

Ngoma yake mpya inaitwa ‘Kiseela’. Hii hapa chini uiskilize shabiki wetu.

#MitegoEA