Msanii mwanadada malkia wa WCB Wasafi Records ameachia ngoma mpya baada ya kusumbua media na wimbo ‘Kijuso’.

Queen Darleen alimpa shavu msanii mwenzake humo WCB, Rayvanny collabo hio ya mwanzoni na sasa amekuja upya kivyake.
Kwenye post aliyoweka kwa Instagram account yake Rayvanny kuhusu ujio huo mpya, alipost kama ifuatavyo huku akiambatanisha na cover picture  ya ngoma hio kwa jina ‘NTAKUFILISI’.

Pakua video hapa chini;

#MitegoEA.