Bonge la collabo kutoka Kenya na Uganda.

Msanii mdogo wake gwiji wa muziki Afrika Mashariki, Jose Chameleon amempa shavu msanii wa kike Vivian Kenya.

Pallaso ameachia collabo hio pamoja na Vivian Kenya, baada ya mwanadada huyo kufanya vizuri kwenye ngoma zake kama ile collabo yake na Jose Chameleon “Charm”.

Collabo yao moto kwa jina ‘Always On My Mind’ hii hapa chini. Pakua.

#MitegoEA

2 COMMENTS

Comments are closed.