Ni wasanii wawili wa kongwe kwenye game la muziki Kenya ambao wamefanya makuu.

Jua Kali aka Baba Yao ameshirikiana na mkali wa dancehall Wyre Da Love Child na kukupakulia uhondo wa ngoma ya mapenzi.

Jua Kali aliwahi achia mzuka kwa jina ‘Safsana’ huku Da Love Child akiangusha ‘Number’.

Jua Kali na Wyre

Hii hapa chini collabo yao mpya. Pakua kisha sambaza na mafans.

#MitegoEA