Tuzo maarufu duniani zitolewazo kutuza wasanii wa bara Afrika zimekamilika.

Nyashinski mkali wa ngoma kama vile ‘Malaika’, Mungu Pekee, Aminia’ akizidi kutegea siku ya tuzo za MTV Ema 2017 huku mkali wa ‘Fall,’ Davido akizidi kutanua kwa kuibuka mshindi wa tuzo za Afrima.

Hata hivyo msanii mmoja wa Kenya alitwaa tuzo mbili tofauti na sio mwingine bali ni Gilad Milo. 

Huu hapa ujumbe wake aliopost kwa Twitter baada ya kushinda kwenye Afrima Awards. Ameshinda tuzo ya ‘Best Artist in African Rock, na ‘Best male artist in inspirational music’.

Tazama orodha nzima ya washindi wakiwemo wasanii wa bongo Tanzania.

#MitegoEA