Diamond Platnumz aka Simba wa Madale anazidi kupiga ziara za muziki wake Ulaya.

Chibu Dangote mkaliwa ‘Hallelujah’ alisafiri Uingereza kwenye bonge la media tour za huko Ulaya kwa ajili ya kusambaza habari kuhusu ujio wake wa album mpya maarufu kama ‘A Boy From Tandale’ atakayoizindua rasmi mwezi December.
Kumbuka Platnumz alishawahi kufanya tour nyingine huko Europe pamoja na familia yake nzima ambayo ilifahamika kama ‘From Tandale to the World’.

#MitegoEA