Mwigizaji wa bongo movie Lulu aka Elizabeth Michal apata pigo mahakamani.

Lulu

Mrembo huyo anayeshtumiwa kuua aliyekuwa mpenzi wake bila kukusudia amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela.
Steven Charles Kanumba alikuwa mpenzi wake Lulu japo msichana huyo alikuwa bado mchanga. Kanumba alikuwa gwiji wa bongo movie hadi kifo chake miaka kadhaa nyuma.

Lulu na Kanumba

Hata hivyo, mamake marehemu Steven Charles Kanumba ameahidi kumzika tena mwanaye baada ya hukumu hio iliyotolewa hapo jana Jumatatu katika Mahakama ya Tanzania.
#MitegoEA