Mwanamziki mashuhuri ambaye hamtambui Khaligraph Jones aka Yego ameamua kusema ukweli kuhusu hisia zake kwa msichana mmoja ambaye ni muigizaji wa filamu za vichekesho(upcoming artist).  

Msanii Mike Rollerwakuu afunguka moyo kuweka bayani kutomuheshimu rapper huyo wa ‘Mazishi’  kutoka 1963 Kayole kwani pia ameachia diss track mpya iitwayo ‘Khalighraph is Dead’!

Mike Rollerwakuu

Bofya link hapa chini upate uhondo wote:

#MitegoEA.