Dah! Pigo kubwa kwa mwanadada mwigizaji wa filamu bongo Tanzania baada ya bidhaa yake kupigwa marufuku.


Wema Sepetu aka Sepenga amekumbana na hali ngumu kwenye maisha yake kwani halmashauri ya vyakula na kupambana dhidi ya dawa za kulevya imeishia kupiga marufuku sokoni bidhaa ya ‘Kiss by Wema Sepetu’ ambayo ni lipstick brand yake kwa madai kuwa haina viwango sawa vya kuweza kutumiwa na watu ikidai kuwa imejumuisha viungo vya hatari kwa afya ya binadamu.


Sepetu ambaye ni mwigizaji wa bongo movie anategemea biashara yake hio inayomwingizia kipato kikubwa na sasa imefungiwa.

#MitegoEA