Kutoka Usafini Wcb imetoka story kwanini kampuni hio ya Simba inakabiliwa na changamoto.

PhotoGrid_1510991905655
Romy Jonz

Kaka yake Diamond Platnumz, Romy Jonz na ambaye ndiye official Dj wa Diamond Platnumz amefunguka hayo kwa kusema sababu kuu ni ‘Madem’ yaani wanadada wengi wanaoizunguka kazi ya msanii huyo mkali wa ‘Hallelujah’.

Kupitia mitandaoni ameweka wazi kuwa wanamitindo hao wamekuwa wengi na kuchanganya Diamond kiasi cha kutozingatia kazi zake na kujikuta na masuala ya kufuatana na wanawake hao na hivyo hali hio inaleta kutoaminika na familia zao kwani pia Simba na mke na watoto.

#MitegoEA

Leave a Coment