Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

 Mastaa ni wengi kila pande ya tasnia mbalimbali kote duniani. Watu maarufu wenye wafuasi wao kwenye mitandao ya kijamii wanaofanya shughuli za kuisadia jamii kupitia uwezo wao wa kisanaa wanaweza kuwa na athari kwenye jamii.

MitegoSasa imekusogezea msanii mwigizaji wa filamu bongo, Wema Sepetu aka Sepenga. Mrembo huyo mbali na kipaji chake cha acting pia ni mfanyabiashara kwani ana miliki kampuni yake ya vipodozi vya mdomoni yaani Lipsticks maarifu kama Kiss by Wema ambapo juzi zimepigwa marufuku kuuzwa sokoni kutokana walichokidai kuwa zina viunga hatari kwa afya ya mwanadamu.

Licha ya hayo Sepetu ni bonge la staa kwani tumepekua account nyingi zenye majina yake kwenye Instagram huku mashabiki wengi wakijiita majina yake jambo ambalo halipo kwa mastaa wengi kama vile Diamond Plutnumz pamoja na mastaa wengineo na hio inaashiria kuwa bado Wema ni kipenzi cha watu na wana imani na kazi zake.

PhotoGrid_1511527394725.jpg
Wema na Diamond

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.