Hivi ni kweli uhasama baina ya Simba na King Kiba ndio basi umekwisha?

Muziki ni mojawapo wa sanaa bunifu ambapo wasanii mbalimbali uunganisha na kuleta amani kwenye jamii.

Tetesi za kuisha kwa bifu ya Diamond Platnumz na Ali Kiba huenda ni kweli baada ya taarifa za mkali huyo wa ‘Seduce Me’ kuonekana ndani ya Wasafi Records na anadai kuwa amerekod nyimbo zake kadhaa Usafini Wcb.

Je kama shabiki wa muziki mzuri wa bongo fleva unadhani jambo sahihi wakali hao kumaliza bifu au zogo lao la muziki ??

Ali Kiba na Diamond

 #MitegoEA.

Leave a Coment