Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Wasanii wa lebo ya muziki ya EMB Records take Msanii Bahati wamezidi kuchangamsha game.

Ni punde tu baada ya msanii mmoja chini ya lebo hio kuachia ngoma mpya kwa jina ‘Mtindo’ ambapo msanii huyo, David Wonder amezungumzia suala la wokovu.

Msanii mwingine kwenye record studio hio naye ameachia mpya. Mr. Seed mkali wa ‘Pull Up’ amemshirikisha msanii matata wa kike Size 8 Reborn mkali wa ngoma ‘Mwambie’ kwenye collabo yao yaitwa ‘Simba Wa Yuda’.

Audio ni chini ya Producer Paulo Wa EMB Records na video kuongozwa na Rahim.
Download ngoma hii hapa chini;

www.youtube.com/MitegoSasa

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.