Dah imedhihirika wazi issue Moja ya mahusiano ya mapenzi yake msanii mmoja kutokea Pwani ya Kenya.

Susumila aka Yusuf Kombo mkali wa  ‘Tawire’ ngoma yake mpya, amesemekana kuwa aliishia kumzimia mwanadada msanii kutoka huko Pwani Mombasa bila kumwambia wazi wazi.

Susumila amekuwa akimzimia Nyota Ndogo kimoyomoyo bila kumfahamisha wala kumweleza bayana mrembo ambaye aliishia kuolewa na mzungu kutoka nchi ya Datch.
Kumbe mapenzi ni kama kikohozi hayafichiki? Je wewe ushawahi kumpenda mtu sana ila ukashindwa kumwambia?

#MitegoEA

Leave a Coment