Huku mashabiki wengi wa muziki mzuri wa bongo fleva wakitazamia kupata albamu mpya ya ‘Simba’, ameachia ngoma mpya.

Chibu Dangote aka Simba Diamond Platnumz, ameachia wimbo huo wakati huu yupo Uingereza kwa ajili ya kuuza muziki wake duniani.

Platnumz ameachia ngoma mpya kwa jina ‘Sikomi’ ngoma moto yako wewe kuskiliza muda wote.

Diamond

Hata hivyo atakuwa anaachia album yake mpya mwezi Disemba mwaka huu ambayo imepambwa kwa msemo wa #A Boy From Tandale na Indigo.

Download hapa chini; 

#MitegoEA

Leave a Coment