Hali leo imekuwa tete maeneo ya Kawangware baada ya kuzuka vita baina ya raia wakazi wa huko.

Siku ya leo ni siku ya kihistoria Kenya kwani ndio siku alitengwa kwa ajili ya sherehe za kuapisha rais na makamu wake kwa awamu ya pili baada ya kutangazwa washindi kwenye zoezi la uchaguzi na tume ya IEBC.

Raia wakazi wa Kawangware ameishia kufanya vitendo vya ugaidi kwani baadhi ya vijana kwenye kundi wamepora maduka wakaiba mali za watu huku wakichangia vita kati yao na vijana wengine waliokuwa wakitaka amani na kulinda Mali zao.
Polisi nao wamepata wakati mgumu kukabiliana na waalifu hao walati wamekaribu kuwatawanya kwa kutumia ‘Tear Gas’ huku vijana hao wakiwarudisha kwa mawe.

Hali hio imedumu takriban kwa masaa mawili kuanzia saa Tano hadi saa saba mchana.

Tazama picha na video za vurugu hizo. 

#MitegoEA

Leave a Coment