Dag! Haya makubwa Sana yaani hayaingii akilini.

Msanii mwigizaji wa bongo movie amemwaga manyanga kwenye Instagram yake.

Wema Sepetu

Wema  Sepetu kwa mara nyngine amejitabiria kifo chake baada ya kipost ujumbe mrefu kwenye mtandao wake huo huku akilalamika sana masaibu anayoyapitia kwenye maisha yake.
Hii hapa post yake nzima. Soma!!

Hata hivyo ameweka wazi kuwa ataachia kuishi maisha ya mitandaoni na kupambana na hali yake pasipo kujihusisha na mitandao kwa kipindi Fulani.
#MitegoEA.

Leave a Coment