Hivi ushawahi kuambiwa unafanana na msanii yupi mkubwa? Inawezekana unashabihana mwonekano na mtu maarufu duniai kwa kumjua au kutomjua.

Chipukeezy mchekeshaji wa show ya Churchill ametupia picha yake ambapo anaonekana kama ni ndugu wa tumbo moja na American RnB artist, Chris Brown.

Haya tuma picha yako na yeye kama unaamini unafanana na msanii au mtu maarufu duniani hapa +254702662012

#MitegoEA

Leave a Coment