Usanii umekuwa ni ajira kubwa kwa vijana bali na kuwa ni kipaji cha kujitegemea.

Wasanii wengi wamekuwa matajiri kupitia vipaji vyao na ni wakati wa vijana kuchukua hatua kuhusu vipaji.

Octopizzo Msanii wa Hip Hop ametupia picha ya bonge la gari mtandaoni huku akionyesha kuwa katika hatua nyingine ya maisha.
Tazama hii picha yake.

#MitegoEA

Leave a Coment