Kwa wapenzi wa muziki mzuri na wale wa burudani leo ni siku yenu.

Disemba inakaribishwa leo kwa bonge la burudani ndani ya B Club Kilimani.

Vee Money

Vanessa Mdee msanii wa kike wa bongo fleva mkali wa ‘Kisela’ aka ‘Cash Madam’ atakuwa live pale club kukupa burudani ili pia kukaribisha Chrismass kwa bashasha.
Soma tweet take;

#MitegoEA

Leave a Coment