Muziki wa Kenya unazidi kutanua wigo zaidi kimataifa kutokana na juhudi za wasanii nchini.

Nyashinski

Nyashinski ameachia kazi mpya leo baada ya kutesa anga za burudani na kibao ‘Aminia’. 
Mkali huyo wa hip hop Kenya amekuwa ameteuliwa kuwania tuzo ya ‘Best African Act’ kwenye MTV Ema 2017 ambapo Davido kutoka Nigeria alitwaa tuzo hio Disemba 12, 2017.

Hata hivyo Nyashinski ameachia ngoma mpya kwa jina ‘Hayawani’ ambapo anazungumzia binadamu wenye roho na mipango mibaya kwa maisha ya wenzao.

#MitegoEA

Leave a Coment