Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Vijana wengi Kenya wanapata mwamko mpya baada ya kutambua nafasi zao kwenye jamii.

Samwel Trevor aka Dj Trevor nikijana ambaye anajituma kuleta umoja na kukuza vipaji miongoni mwa vijana.
Ni mzawa wa maeneo ya Migori Magharibi ya Kenya ambaye ndiye kiongozi wa tamasha la Migori Music Awards pamoja na Fantasy Modeling Agency.

Dj Trevor

Trevor ameelezea Mitego Sasa Blog kuwa amekuwa akipanga kwa ajili ya tuzo hizo tangia miaka miwili nyuma lakini hatimaye amefanikiwa na tuzo hizo zitafanyika mnamo tarehe 12 Disemba 2017. 
Ni tuzo ambazo dhima yake kuu ni kukuza vipaji miongoni mwa vijana wa Migori ili kuwapa nafasi ya kufahamika kwenye ulimwengu wa muziki na burudani.

Alichokisema hichi hapa; 

Awards nilianzisha  ili ni inue vipaji kuna wasanii wengi toka pande za Migori ila awajapata fursa ya kujulikana the main reason ya kuanzisha awards ni kuinua vipaji na kufanya wasio julikana wajulikane” Yeye kamaliza hivyoo.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.