Kutoka Kigali Rwanda ni msanii chipukizi ambaye anajituma mno kutamba.

Msanii ameachia nyimbo nyingi za gospel mpaka sasa huku akijituma kupiga shows mataifa mbalimbali kama vile juzi amekuwa Uganda.

The Winner

The  Winner kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya ‘Umuvugizi’ ambayo pia ni gospel chini ya producer Holy Beatz.

Download ngoma yake hapa chini;
http://famemix.com/index.php?a=track&id=647&name=umuvugizi-by-the-winner

Download |Share |Listen |Like
#MitegoEA

Leave a Coment