Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Mitego Sasa Blog imefanikiwa kuwapiga gumzo na mmoja wapo wa wanawake wazuri wenye sifa za kike Kenya.

Mwanadada huyo maarufu kama Vera Catania Di Queen nimsomi chuoni Multi Media ambao anasomea kozi ya uanahabari.
Ni mwanamitindo na mlimwende anayeinukia kwa kasi pamoja na kuwa ni video star.

Kwenye Interview na Mitego ameweka wazi yafutayo;

“Am 19 year old,pursuing degree in mass communication at Multimedia university, I live in Nairobi,Apart from that am also a model and a fashion star,I like touring,mountain climbing, modelling and reading novels”

amefunguka Vera the Booty Gal!

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.