Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Wema  Sepetu bado anazidi kupitia wakati mugumu kwenye maisha yake. 

Sepetu na bendera ya CCM

Yote hayo yanadhihirishwa wazi na maamuzi yake magumu kwani sio mahusiano tu bali yapo mengi yanampa pressure ya maisha.
Wema juzi alitangaza kuhusu kifo chake huku akionyesha kuchoka na maisha anayoyapitia kwa mujibu wake. Mrembo huyo staa wa bongo movie ametangaza kuhama chama cha kisiasa ambacho amekuwa mpambe akikipigania kwa muda mrefu Chadema.

Mrembo huyo ameweka wazi azimio lake kurudia Chama Cha Maendeleo CCM ambao ameeleza ndipo nyumbani anapostahili kuwa kwani ametaja kutokuwa na Amani akiwa Chadema.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.