Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Mwanadada msanii wa kike Kenya anajivunia mwaka huu.

Stella Mwangi aka STL baada ya kuachia ngoma yake ‘Get Up and Go Off’ amekuwa na mafanikio si haba.
Mkali huyo aliwahi dili kwenye kampuni ya Fashion yake Tommy Hilfiger kutokana na ngoma yake hio.

Ameingiza mkwanja mrefu hadi kufungua bonge la lebo yake ya muziki huko Norway maarufu kama Badili Akili Music.

Hata hivyo Stella ameachia ngoma yake ya kwanza chini ya lebo yake hio mpya. ‘Ready To Pop Up’ ndio wimbo wake mpya ambao producer ni Rodstad pamoja na Kim Hoglund. 

STL amewapongeza mashabiki wake wote kwa support yao kwake na kuwahidi kazi mpya mwakani 2018.

“Oky FAM,I’ve been up and about producing dope music all years and I must say this particular release represents my rebirth. Expect fire upon your head in 2018! I’m coming out with some good heat for my true fans as well as new ones”

akawapongeza mafans wake STL.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.