Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kutoka bongo Tanzania ni habari kuhusu tuzo za Swahili Fashion Week 2017.

Tuzo hizo ambazo zimetolewa juzi amefanikiwa kutwaa tuzo msanii mchekeshaji na mwigizaji wa bongo movie.

Idris Sultan ambaye ndiye pia mshindi wa Big Brother ametwaa tuzo hio kutokana na support ya mashabiki wake kwa mujibu wake.

Msanii huyo amepost habari hizo kwenye mitandao yake huku akiwapongeza mashabiki na wadau wote.

Hii hapa chini post yake baada ya ushindi huo. Soma;

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.