Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Wasanii wamechangamka ili kufanya kazi za kweli na kuaminishia mashabiki wao kuwa wana vipaji.
Mitego Sasa imefanikiwa kumhoji msanii chipukizi ambaye anajitahidi sana kwenye game la muziki Kenya na kufumbua haya..
Mwenda Pole aka Sifuna Alex ni msanii mchanga ambaye yupo Nairobi na ambaye kwa sasa ana ngoma tatu.

Msanii huyo ameambia Mitego kuwa ana ngoma hizi; ‘Naamka Asubuhi, Nai Nai na Nimelost‘.
Mbali na usanii ni mkali wa acting manaa pia amehusika kwenye filamu.
Pata kuskiliza kipaji chake kwenye ngoma hii yake;

Http:/mdundo.com@79180

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.